0 Comment
Kamishna Msaidizi wa Idara ya Uendelezaji wa Fedha, Wizara ya Fedha, Bi. Dionesia Mjema, akizungumza wakati akifunga mafunzo kwa Waratibu wa Biashara ya Huduma Ndogo za Fedha kutoka ngazi ya Wizara, Mikoa na Halmashauri, iliyofanyika katika Ukumbi wa Kambarage, Treasury Square, jijini Dodoma. Kamishna Msaidizi, Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha,... Read More