0 Comment
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC),wakipata maelezo wakati wa ziara ya kukagua na kutembelea utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa nyumba 3,500 za makazi katika eneo la Nzuguni jijini Dodoma,ziara iliyofanyika leo Machi 12,2025. Na.Alex Sonna-DODOMA KAMATI ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC),imeupongeza Wakala wa Majengo... Read More