0 Comment
Na Avila Kakingo, Michuzi Tv MKURUGENZI wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Rose Reuben, amesisitiza msimamo wa chama hicho katika kulinda heshima na utu wa mwanamke, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025. Ametoa wito kwa jamii na wanasiasa kujiepusha na siasa za matusi, kejeli na matamshi ya chuki yanayolenga... Read More