0 Comment
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Dodoma Mjini,Samuel Kisaro amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Dodoma Mjini. Kisaro ambaye ni mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Dodoma Mjini na Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Wilaya ya Dodoma Mjini amechukua fomu hiyo Leo Juni 28... Read More