0 Comment
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Salome Makamba, akiwasili katika ofisi za CCM Mkoa wa Shinyanga kwa ajili ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kugombea nafasi ya ubunge wa viti maalum kwa wanawake kupitia UWT. Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Salome Makamba, akionesha fomu ya kuomba... Read More