0 Comment
Na Ashrack Miraji Fullshangwe Media Watu 37 wamefariki dunia na wengine 29 kujeruhiwa katika ajali iliyotokea eneo la Sabasaba, kata ya Same, wilayani Same, mkoani Kilimanjaro. Ajali hiyo imetokea juni 28, 2025 majira ya jioni baada ya basi la kampuni ya Channel One lenye namba za usajili T 179 CWL lililokuwa likitoka Moshi kuelekea Tanga... Read More