0 Comment
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt Doto Biteko Juni 29, 2025 amewasili Kigali nchini Rwanda kwa ajili ya kushiriki katika Mkutano unaohusu masuala ya nyuklia Afrika. Katika Mkutano huo unaotarajiwa kuanza Juni 30 hadi Julai 1, 2025 nchini humo unajumuisha wadau wa... Read More