0 Comment
Na. Philipo Hassan/ Dar es salaam Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limefanikiwa kunyakua jumla ya tuzo 7 katika mashindano ya kimataifa ya World Travel Awards, mafanikio makubwa na ya kihistoria ambayo yanaonyesha dhamira thabiti ya TANAPA katika kulinda, kuhifadhi na kukuza utalii wa ndani na wa kimataifa. TANAPA kupitia hifadhi zake 7 zimeshida... Read More