0 Comment
Serikali ya Tanzania na Umoja wa Viongozi wa Afrika wa Kupambana na Ugonjwa wa Malaria (African Leaders Malaria Alliance-ALMA) wamesaini Mkataba wa Uenyeji (Host Agreement) katika hafla iliyofanyika jijini Dodoma Juni 28, 2025. Uwekaji saini huo umefanywa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo kwa niaba ya... Read More