Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama imefanya ziara kutembelea ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa, Dodoma leo tarehe 12 Machi 2025 na kupongeza mafanikio yaliyofikiwa. Akizungumza kwa niaba ya Kamati, Mwenyekiti wa Kamati hiyo ambaye pia ni Mbunge wa Namtumbo Mheshimiwa Vita Kawawa amempongeza Mkuu wa Majeshi... Read More
BARAZA la Taifa la Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali(NaCoNGO), limezindua kikosi kazi cha kitaifa chenye wajumbe 14 wanaotoka katika makundi ya wawakilishi mbalimbali kwa ajili ya kukusanya maoni ya wadau pamoja na kufanya mapitio ya kanuni zinazosimamiwa na baraza hilo. Akizindua Kikosi hicho mapema leo Machi 12,2025 jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa Baraza hilo,Gasper... Read More
Na Khadija Kalili, Michuzi TV TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imeanza ziara ya wiki mbili wakifanya uchunguzi wa kero na malalamiko ya wafanyakazi na wakazi wa maeneo jirani ya viwanda vya mkoa wa Pwani. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo tarehe 12 Machi 2025 Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu... Read More
Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Omar Said Shaaban ameongoza ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unaofanyika jijini Harare, Zimbabwe kuanzia tarehe 12 hadi 14 Julai, 2025. Mkutano huo ambao ulitanguliwa... Read More
*Asema ni muhimu kuelewa vizuri mfumo wa uboreshaji Kaya masikini sambamba na taaluma ya ujasiriamali ili kuepuka kutumia pesa bila kuzalisha. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameyasema hayo leo Machi 12, 2025 katika ukumbi wa mikutano Arnatoglo wakati akizindua zoezi la malipo ya Ruzuku kwa walengwa wa mpango wa kunusuru... Read More
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya Mkoani Mara, Bw. Abdul Mtaka, akitoa agizo kwa taasisi zenye tabia ya kushikilia kadi za benki za watumishi kama dhamana wanapokopa, kuacha mara moja vitendo hivyo kwa kuwa ni kinyume cha Sheria, wakati wa mkutano na Timu ya Wataalamu wa Elimu ya Fedha, kutoka Wizara ya Fedha,... Read More
Na. Faraja Mbise, DODOMA Halmashauri ya Jiji la Dodoma imejipanga vema kutoa huduma kwa wananchi wote kwa kuzingatia mgawanyo wa Jimbo la Dodoma Mjini wenye mapendekezo ya kuligawa jimbo hilo kuwa Jimbo la Mtumba lenye jumla ya kata 20 na Jimbo la Dodoma Mjini lenye kata 21. Kauli hiyo ilitolewa na Mkurugenzi wa Jiji la... Read More
Na. Leah Mabalwe, DODOMA Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Alhaji Jabir Shekimweri, awataka viongozi wa vyama vya siasa pamoja na wananchi kufuata maelekezo ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ili kutovuruga maendeleo katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma. Aliyasema hayo katika Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Wilaya ya Dodoma kilichoketi kujadili taarifa ya... Read More