0 Comment
Na mwandishi wetu, Kiteto MBUNGE wa Jimbo la Kiteto Mkoani Manyara, anayemaliza muda wake wakili msomi Mhe Edward Ole Lekaita Kisau amesema wananchi wa Kiteto, wamenufaika na miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ya sekta ya afya, miundombinu, elimu, maji na mingineyo kwa muda wa miaka mitano ya 2020/2025 iliyogharimu kiasi cha fedha cha shilingi bilioni... Read More