0 Comment
Chama Kikuu cha Ushirikia cha TANECU Ltd. kimeanza safari ya kuwa na ushirikia imara kwa kujenga kiwanda cha kubangua korosho Newala, mkoani Mtwara kilichogharimu shilingi bilioni 3.4. Kiwanda hicho kimezinduliwa rasmi na Mhe. Hussein Bashe (Mb), Waziri wa Kilimo tarehe 1 Oktoba 2024 ambapo maelfu ya wakulima wameshuhudia kwa hamasa za uhakika wa soko la... Read More