0 Comment
Na Ashrack Miraji Fullshangwe Media Mkuu wa Wilaya ya Same Mheshimiwa Kasilda Mgeni ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Same kwa kutoa mkopo wa asilimia 10 za mapato ya ndani kwa wakati ili kuwainua wananchi kiuchumi. Pongezi hizo zimetolewa na Mkuu wa Wilaya wakati akikabidhi hundi ya Shilingi Milioni 210 ambazo ni Mkopo wa robo ya... Read More