0 Comment
Nigeria inatarajia kushuhudia maandamano mapya hii leo Jumanne wakati wananchi watapokusanyika kupinga gharama ya maisha.Maandamano hayo yaliyopewa jina la ‘Bila woga Oktoba 1’ yamepangwa kuendana na maadhimisho ya miaka 64 ya uhuru wa Nigeria ambayo yanaadhimishwa Jumanne, Oktoba 1. Waandalizi waliviambia vyombo vya habari kuwa maandamano yatafanyika katika mji mkuu Abuja, mji wa bandari wa... Read More