0 Comment
Viongozi wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) wameaswa kuongeza zaidi tafiti na uzalishaji wa mbegu za asili; na kujenga uwezo wa watafiti wake kupitia vyuo vya ndani na nje ya nchi. Msisitizo huo umetolewa na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe (Mb) kwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI, Dkt. Thomas Bwana wakati wa ziara... Read More