Na Emmanuel Massaka Michuzi TV MWENYEKITI wa UVCCM Kata ya Mabwepande Andrew Mashimba amesema kuwa uchaguzi wa mwaka huu ndani ya Chama hakuna kukatwa ambapo mshindi wa kwenda kugombea katika nafasi ya mwenyekiti wa Mtaa na wajumbe watapatikana kwenye boksi la kura. Viongozi wote watapigiwa kura na wanachama hivyo hakuna mtu atapita Kwa ... Read More
Na. Mwandishi wetu: Shinyanga Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi amesema Serikali ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inatambua umuhimu wa kuwa na lugha moja ya alama ili kuwezesha mawasiliano ya watumiaji wa lugha hiyo. “Serikali imeendelea kuimarisha matumizi ya Lugha ya Alama... Read More
SERIKALI imeanza kutumia mfumo wa Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) kwa zao la Korosho kwa msimu wa mauzo mwaka huu unaoanza hivi karibuni ili kumlinda mkulima kwa kupokea malipo moja kwa moja kutoka kwa Vyama Vikuu vya Ushirika badala ya mzunguko kupitia Vyama vya Msingi (AMCOS). “Ni Lazima tuwe na mfumo imara wa kujua... Read More
BODI ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) inaendesha warsha ya mafunzo ya siku tano kwa watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) kwa lengo la kuhakikisha wanaendana na mabadiliko ya viwango vya kikaguzi vya Kimataifa katika ukaguzi wao. Warsha hiyo inajadili masuala muhimu kama viwango vya ukaguzi, utoaji wa... Read More
Mfungwa aliyehukumiwa kifo kwa muda mrefu zaidi duniani aliwashukuru wafuasi wake kwa kumsaidia kupata “ushindi kamili” baada ya mahakama ya Japan wiki iliyopita kubatilisha hukumu yake ya mauaji ya miongo kadhaa. Baada ya vita vya muda mrefu vya kudai haki vilivyoongozwa na dada yake, Iwao Hakamada mwenye umri wa miaka 88 siku ya Alhamisi alitangazwa... Read More
Fowadi wa Ufaransa Ousmane Dembele ameachwa nje ya kikosi cha PSG kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Arsenal Jumanne baada ya sakata la kuzozana na kocha wake chanzo cha karibu na klabu hiyo kiliiambia AFP. Kukosekana kwa Dembele hakuhusiani na jeraha lakini bali ni”uamuzi wa kocha” Luis Enrique, chanzo kiliiambia... Read More
Bayern Munich wanamfuatilia mlinda mlango wa Liverpool Alisson Becker, kwa mujibu wa The Sun. Huku mchezaji wa zamani wa Bayern Manuel Neuer akielekea mwisho wa maisha yake ya soka, mchezaji wa kimataifa wa Brazil Alisson ametambuliwa kama anayeweza kuchukua nafasi ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 38. Meneja wa Bayern Munich Vincent Kompany anasemekana... Read More
Na Khadija Kalili, Michuzi Tv Mwenyekiti wa Washiriki wa mafunzo ya kozi ya ‘Sustainable and Inclusive Women Leadership and Management’ (SIWOLEMA) Training Program yaliyofanyila kuanzia tarehe 22 hadi 28 Septemba 2024, yamefungwa. Akitoa neno la shukrani kwa niaba ya wahitimu Mwenyekiti wa Wahitimu wa mafunzo hayo Naomi Zegezege amesema kuwa serikali ya Jamhuri ya Muungano... Read More