0 Comment
Serikali imeanza kutumia mfumo wa Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) kwa zao la Korosho kwa msimu wa mauzo mwaka huu unaoanza hivi karibuni ili kumlinda mkulima kwa kupokea malipo moja kwa moja kutoka kwa Vyama Vikuu vya Ushirika badala ya mzunguko kupitia Vyama vya Msingi (AMCOS). “Ni Lazima tuwe na mfumo imara wa kujua zao... Read More