0 Comment
Na Mwandishi Wetu MBUNGE wa Jimbo la Segerea, Dar es Salaam Bonah Kalua ameahidi kuwaunga mkono wasichana wenye taaluma mbalimbali za masuala ya urembo na upishi katika mwanzo mpya wa kujijenga kibiashara. Kalua ametoa ahadi hiyo kwa wahitimu wa kozi za urembo ikiwemo ususi, ushonaji, upishi wa keki na urembo wa ngozi (make-up)... Read More