0 Comment
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Daniel Sillo, ametoa Rai kwa Viongozi wa Usalama barabarani na Viongozi wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani kuwaunga mkono Mabalozi wa Usalama Barabarani (RSA) katika juhudi za kujali Usalama Barabarani pamoja na kutoa elimu ya usalama barabarani ili kuliongezea nguvu Jeshi la Polisi Naibu Waziri amesama... Read More