0 Comment
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt.Wilson Charles Mahera akiongea wakati wa ufunguzi wa mbio za Nelson Mandela Septemba 22,2024 katika Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela. Lengo la mbio hizo ni kuhamasisha ushiriki wa wasichana na wanawake kusoma masomo ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na ubunifu. Na.Mwandishi Wetu... Read More