0 Comment
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo,akizungumza na wananchi mara baada ya kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Bweni la Watoto Maalumu katika Shule ya Msingi Mpilipili wilayani Lindi wakati akihitimisha ziara ya siku sita mkoani humo yenye kauli mbiu isemayo ‘Rais Samia na Maendeleo Wasikie na Waone’ inayolenga kukagua utekelezaji wa miradi... Read More