0 Comment
Na Mwandishi wetu. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa Dunstan Luka Kitandula ameitaka Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) kusimamia kikamilifu shughuli za utalii ili kulinda kazi iliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuitangaza sekta hiyo kimataifa na kuongeza idadi ya watalii nchini. Mheshimiwa Kitandula... Read More