0 Comment
JANA tumeshuhudia kufungwa rasmi kwa msimu wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara 2024/25 kupitia pambano la kusisimua la watani wa jadi, ambapo Yanga SC waliwakaribisha Simba SC katika Uwanja wa Benjamin Mkapa na kuibuka na ushindi wa mabao 2-0. Ushindi huo umeifanya Yanga kutawazwa kuwa mabingwa wa ligi kwa mara ya 31 katika historia yao. Ligi imemalizika kwa... Read More