0 Comment
Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga akizungumza wakati Uzinduzi wa Mfumo wa TANESCO wa Uwekezaji (TIMS)uliofanyika jijini Dar es Salaam. Mwakilishi wa Mwenyekiti wa Bodi ya TANESCO Isaac Chanji akitoa maelezo kuhusiana na umuhimu wa Mfumo TIMS wakati uzinduzi ,jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Lazaro Twange akitoa maelezo kuhusiana na safari... Read More