0 Comment
Na Mwamvua Mwinyi Juni 25,2025 Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM), Dkt. Maulid J. Maulid, ameeleza nidhamu na uwajibikaji ni chachu ya mafanikio katika sekta ya elimu Kauli hiyo aliitolewa 25 Juni, 2025 wakati akifungua mafunzo ya Utawala Bora katika Elimu kwa Maafisa Elimu Kata 352 kutoka mikoa ya Dodoma... Read More