0 Comment
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), akijibu swali la Mheshimiwa Zahor Mohammed Haji (Mwera), aliyetaka kujua faida na hasara ya Tanzania kutokana na msimamo wa nchi za BRICS ambazo zimejipanga kujiondoa kwenye Mfumo wa Dolarisation, bungeni jijini Dodoma. (Picha na Kitengo cha Mawasilino Serikalini, Wizara ya Fedha) Na. Saidina Msangi, WF, Dodoma.... Read More