0 Comment
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Rwanda, Mhe. Dkt. Habib Kambanga, amekutana na kuukaribisha rasmi ujumbe wa Tanzania uliowasili jijini Kigali kushiriki Mkutano wa 16 wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano (JPC) kati ya Tanzania na Rwanda, unaotarajiwa kufanyika tarehe 24 hadi 26 Julai 2025. Mazungumzo hayo yalifanyika katika Ofisi ya... Read More