0 Comment
11 Septemba, 2024 MKE wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Mama Mariam Mwinyi amesema suala kumkomboa msichana wa Zanzibar ni endelevu na linahitaji ushiriki mkubwa wa jamii kupitia taasisi za umma na binafsi. Mama Mariam Mwinyi ambae pia ni Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya “Zanzibar Maisha Bora Foundation” (ZMBF), aliyasema hayo kwenye kiwanda... Read More