0 Comment
BODI ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imeendelea kutoa mafunzo kwa wataalam kutoka vyuo na taasisi mbalimbali ili kuhakikisha viwango vipya vya mabadiliko ya mtaala vinafuatwa katika utungaji wa mitihani, usahihishaji na uhakiki. Akizungumza na wandishi wa habari Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Elimu na Mafunzo wa NBAA, Peter Lyimo amesema kuwa... Read More