0 Comment
Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza umetoa tahadhari kwa wafanyabiashara wenye nia ya kununua malori yaliyotumika kutoka Uingereza kuchukua tahadhari za msingi wanapofanya manunuzi hayo ili kuepuka usumbufu na hasara inayoweza kutokea. Tahadhari hiyo iliyotolewa na Balozi wa Tanzania nchini humo, Mbelwa Kairuki ni kufuatia ubalozi kupokea malalamiko ya baadhi ya wafanyabiashara ambao wametuma pesa nchini... Read More