MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu (LATRA) imesisitiza dhamira yake ya kupanua wigo wa sekta ya usafirishaji ili kuhakikisha inawanufaisha watu binafsi na kuchangia ukuaji wa uchumi wa taifa. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka hiyo, CPA HAbibu Suluo katika hafla ya kukabidhi cheti cha wakala wa leseni kwa Kilimanjaro Bajaji na... Read More
Katika picha ni kikao cha shirikisho la askari wa Kike Ukanda wa Africa (IAWP Africa Chapter) kilicho kutanisha washiriki kutoka ukanda huo ambapo walipata fursa ya kujadili mambo mbalimbali kabla ya kuwasilisha agenda zao katika Mkutano Mkuu wa mwaka(AGM) ambao unafanyika Chicago Nchini Marekani Septemba Mwaka huu. The post Picha:kikao cha shirikisho la... Read More
Katika kuhakikisha askari wa Kike wanakuwa imara na mahiri katika kila nyanja wanazohudum Suala la kujengewa umahiri katika ulengaji wa Shaba kwa askari hao likatolewa na wabobezi wa shabaha (Sniper) kutoka Jeshi la Polisi Nchini Marekani. Miongoni mwa askari wa kike waliopata mafunzo ya ukupigaji shabaha nchini humo ni Koplo wa Jeshi la Polisi... Read More
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania September 5, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 5, 2024 first appeared on Millard Ayo.
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam September 5, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 5, 2024 first appeared on Millard Ayo.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge akikabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo kwa mmoja wa washiriki wa mafunzo ya mujibu wa sheria oparesheni miaka 60 ya Muungano Septemba 4,2024 yaliyofanyika kwenye Kikosi cha 832KJ,Ruvu kwenye Uwanja wa Mabatini Mlandizi . Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge akiwa katika picha ya pamoja na wahitimu wa... Read More