DODOMA: TANZANIA Bureau of Standards (TBS) emphasized on Tuesday that car parts importers must adhere to quality standards to prevent road accidents and improve overall vehicle safety. TBS Standards Manager, Eng Yona Afrika said noncompliance with standards can lead to the use of substandard parts which increases the risk of mechanical failures, posing serious dangers... Read More
Singapore itatoa chanjo ya mpox kwa wafanyakazi wa afya walio hatarini zaidi na kwa watu wa karibu na wale waliothibitishwa kuwa na maambukizi. Taarifa hii ilitangazwa kwenye mkutano wa waandishi wa habari siku ya Jumatano, huku hali ya wasiwasi ikiongezeka kuhusu aina ya clade 1, ambayo ilisababisha Shirika la Afya Duniani (WHO) kutangaza mpox kuwa... Read More
Wachezaji wa Korea Kaskazini, Kim Kum-yong na Ri Jong-sik wanaripotiwa kuwekwa chini ya ‘uchunguzi wa kiitikadi’ na wanaweza kukabiliwa na adhabu ikiwa watashindwa kujitetea kutokana na tabia isiyofaa waliyoonyesha kwenye michezo ya Olimpiki mwaka huu. Mojawapo ya picha zinazosherehekewa zaidi za katika michezo ya Olimpiki iliyomalizika huko Paris, Ufaransa ni “selfie” iliyopigwa na wachezaji wa... Read More
Na. Peter Haule, WF, Dodoma Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salam (DSE) aliyefika kujitambulisha. Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi ya Waziri wa Fedha, Dkt. Nchemba, jijini Dodoma. Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb),... Read More
KILIMANJARO: THE Land Transport Regulatory Authority (LATRA) has reaffirmed its commitment to expand the scope of transportation sector to ensure it benefits individuals and contributes to the nation’s economic growth. This was stated on Tuesday by the authority’s Director General, CPA HAbibu Suluo at the ceremony of issuing the licensing agent certificate to Kilimanjaro Bajaji... Read More
Wanamgambo wanaosadikiwa kuwa wa Boko Haram wamevamia kijiji cha Mafa, kaskazini mashariki mwa Nigeria, na kuua watu wasiopungua 127 katika shambulio la kikatili. Shambulio hilo lilitokea katika jimbo la Yobe, ambalo limekuwa moja ya maeneo yaliyoathirika zaidi na uasi wa kundi hilo kwa zaidi ya miaka 15. Kwa mujibu wa polisi, wanamgambo hao waliingia kijijini... Read More
Wakati Waendesha mashtaka na mawakili wa Trump wakitarajiwa kufika mahakamani siku ya Alhamisi kwa ajili ya kusikilizwa ili kuamua hatua zinazofuata baada ya uamuzi wa Mahakama ya Juu kuhusu kinga kwa Trump ,rais huyo wa zamani wa Marekani alisema Jumanne kwamba atakana mashtaka ya jinai katika hati ya mashitaka iliyofanyiwa marekebisho akimtuhumu kuzuia matokeo ya... Read More
Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta ya Petroli _ Septemba 2024 (1. The post Bei ya mafuta yashuka, hizi ni bei mpya kwa mikoa yote appeared first on SwahiliTimes.
Na Mwandishi wetu, Simanjiro DIWANI wa Kata ya Edonyongijape Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Jacob Kimeso amechaguliwa kwa kipindi kingine cha tatu kuwa Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya hiyo. Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri huchaguliwa kila mwanzo wa mwaka wa fedha unapoanza na huu utakuwa mwaka wa tatu mfululizo Kimeso ameshika nafasi hiyo. Awali, Kaimu DED... Read More