0 Comment
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Albert Chalamila Leo Septemba 3,2024 amekutana na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw.Yusuph Mwenda akiongozana na baadhi ya wataalamu wa mamlaka hiyo katika kikao kilichofanyika ofisi ya Mkuu wa Mkoa Ilala Boma. Katika kikao hicho Mhe.Chalamila ameongelea mambo kadhaa yaliyojadiliwa ikiwa ni kupunguza migogoro... Read More