Wakili MKuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kutoa mwelekeo wa Ofisi hiyo kwenye kikao kilichofanyika ukumbi wa mikutano wa Ofisi hiyo Dar es Salaam. Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akiwasilisha taarifa ya utekelezaji ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali... Read More
Ile Jumapili uliyoizoea ya kukaa kinyonge hatimaye imeondolewa kwenye kalenda, HAIPO TENA! Wakali wa muda wote wa kutengeneza na kusambaza pombe kali na bia nchini hawa si wengine bali ni Serengeti Breweries Ltd wakishirikiana na club inayobamba mjini 1245 wameigeuza Jumapili yako kuwa Ijumaa mpya. Unaambiwa sasa siku za Jumapili zitakuwa maalamu za kula bata... Read More
Mkuu wa kanda ya Nyanda za Juu kusini wa Vodacom Tanzania Bw. Abednego Mhagama (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya Shilingi laki tano mshindi wa droo ya tano ya Kampeni ya Ni Balaa, Kila Mtu ni Mshindi kutoka kampuni hiyo Bi. Upendo Eliamringi (wa pili kulia) katika Duka la Vodacom lililopo Jijini Mbeya mwishoni mwa... Read More
SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limetoa tahadhari kwa wadau wa usafiri wa majini na wale wanaofanya shughuli za kiuchumi baharini na kwenye maziwa, kuchukua tahadhari kufuatia taarifa za uwapo wa upepo mkali zilizotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa TASAC, baada ya kupokea taarifa ya uwapo... Read More
WAZIRI wa Madini Mh. Anthony Mavunde amesema Tanzania inakaribisha wawekezaji wote wa madini mkakati na kuweka msisitizo kwamba uongezaji thamani wa madin hayo mkakati lazima ufanyike Tanzania. Mavunde ameyasema hayo leo Bali,Indonesia wakati wa majadiliano juu ya manufaa ya Madini Mkakati katika kukuza uchumi wa nchi wazalishaji ikiwa ni sehemu ya mkutano wa jukwaa... Read More
Mgeni Rasmi ambaye ni Mejeja wa Fedha wa Barrick nchini, Penina Kitundu akimkabidhi cheti cha kuhitimu elimu ya msingi mmoja wa wanafunzi wa darasa la saba wa shule ya Mwananyamala B, wakati wa mahafali yao hivi karibuni Meneja wa Fedha wa Barrick nchini Penina Kitundu akizungumza na wanafunzi wakati Mahafali ya Wanafunzi wa Darasa la... Read More
Jambo la kustaajabisha limetokea katika kitongoji cha Dungi, Kijiji cha Kibosho Kindi, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, baada ya Polisi kushindwa kufukua mwili unaodaiwa kuzikwa kimakosa katika eneo hilo, huku ndugu wakidai hawana taarifa hiyo. Mwili huo unaodaiwa kuwa wa Richard Shoo, aliyefariki dunia Juni 19, mwaka huu ulitakiwa kufukuliwa kwa ajili ya uchunguzi na... Read More
Serikali ya Nigeria, hivi leo imewashtaki watu 10 kwa makosa ya uhaini na kuchochea jeshi kufanya uasi kufuatia maandamano ya kitaifa ya mwezi uliopita, ambapo maelfu ya raia walijitokeza kupinga kupanda kwa gharama ya maisha. Wanaume 10 walifikishwa katika Mahakama Kuu ya Abuja ambapo walikana mashtaka dhidi yao, na ikiwa watapatikana na hatia watakabiliwa na... Read More
Dar es Salaam Jumatatu Septemba 2 2024 — Ndondo Cup 2024 imekuwa hadithi ya mafanikio makubwa, ikitumika kama jukwaa lenye nguvu la kutoa huduma za afya na kuimarisha huduma za VVU na chanjo miongoni mwa vijana wa kiume na wanaume nchini Tanzania. Mpango huu wa kibunifu, unaoongozwa na Serikali ya Marekani kupitia mradi wa Breakthrough... Read More