0 Comment
Mwanamume mmoja kutoka Ufaransa mwenye umri wa miaka 71 anakabiliwa na mashtaka ya kuwahusisha zaidi ya wanaume 50 kumbaka mke wake mzee kwa zaidi ya miaka kumi bila yeye kufahamu. Mwanamume huyo, ambaye alikuwa mfanyakazi wa zamani wa shirika la umeme la Ufaransa, EDF, alitumia dawa za kumlewesha mke wake ili asipate fahamu wakati wa... Read More