0 Comment
Na Mwandishi Wetu MWENYEKITI wa Wazazi (CCM), Mkoa wa Morogoro, ambaye pia ni Mkurugenzi wa shule ya Msingi na Awali East Africa ya jijini Dodoma, Dk. Rose Rwakatare, ameipongeza serikali kwa kuanzisha mitaala mipya ambayo amesema itasaidia watoto kujifunza kwa vitendo Dk. Rose amesema lengo lao ni kufanya uwekezaji katika sekta ya elimu ili kuunga... Read More