0 Comment
NA VICTOR MASANGU, KIBAHA Chama cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kibaha mjini kimewataka viongozi wa CCM kuanzia katika ngazi za Kata, Wilaya na Mkoa kutoingilia kabisa maamuzi ya wana ccm pamoja na wananchi katika suala zima la kuwachagua viongozi wanaowapenda katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27 mwaka huu kwani wao ndio... Read More