0 Comment
Baadhi ya majengo katika soko jipya la madini ya vito yanayoendelea kujengwa na Halmashauri ya wilaya Tunduru kwa kushirikiana na wadau wa madini wilayani humo. Na Mwandishi Maalum,Tunduru BAADHI ya wazee wa wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma,wameiomba Serikali kuharakisha mchakato wa kufungua soko jipya la madini ya vito ili kudhibiti utoroshaji wa madini na mapato... Read More