0 Comment
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeshiriki kikamilifu kwenye kilele cha Maadhimisho ya miaka 60 ya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi iliyopo mkoani Morogoro huku ikiahidi kuendelea kubuni huduma mbalimbali za kifedha mahususi kwa wadau sekta ya utalii nchini. Hatua ya benki hiyo inalenga kuunga mkono jitihada za serikali katika kuvutia idadi kubwa ya watalii... Read More