0 Comment
Huu ni muendelezo wa report za Muleba Festival kutokea hapa Mkoani Kagera,na hii ni video ikiwaonyesha wasanii wengine kutoka Dar Es Salaam akiwemo Dullah Makabila,Chino wanaman,Missomisondo yaaani wazee wa Makoti na mkongwe Juma Nature ambao wamewasili Mkoani Kagera na kupitishwa katika viunga vya manispaa ya Bukoba ambapo wameshare love na mashabiki zao wa maeneo hayo... Read More