0 Comment
BODI ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Hesabu Tanzania (NBAA) imeendelea kutoa elimu/mafunzo kwa wanafunzi wa Taasisi, Vyuo pamoja na Shule za Sekondari ikiwa na lengo la kuwajengea ufahamu kuhusu shughuli mbalimbali za Bodi na kukuza taaluma ya Uhasibu. Akizungumza wakati wa kufungua mafunzo hayo Mkurugenzi wa Huduma za Shirika CPA Kulwa Malendeja alitoa salamu... Read More