0 Comment
Barcelona bado wanaendelea na mazungumzo na beki wa Bayer Leverkusen Jonathan Tah kuhusu uwezekano wa kuhama, anaripoti Florian Plettenberg wa Sky Sports Deutschland. Barcelona wamekuwa wakiwinda mpango wa kumnunua beki huyo, ingawa makubaliano bado hayajatimia huku dirisha la uhamisho likikaribia kukamilika Ijumaa. Miamba hao wa Uhispania wameangazia malengo mengine katika wiki za hivi karibuni, lakini... Read More