0 Comment
Na Ramadhani Kissimba Katibu Tawala wa Wilaya ya Morogoro, Bi. Ruth John amewaomba watalamu kutoka Wizara ya Fedha kwa kushirikiana na sekta ya fedha nchini kutatua changamoto zinazowakabili wananchi hasa watumishi wa umma zinazotokana na upatikanaji wa huduma za fedha zisizo rasmi. Bi. Ruth aliyasema hayo wakati Timu ya program maalum... Read More