Happy Lazaro, Arusha . Naibu Waziri wa fedha,Hamad Hassan Chande amewataka Wahitimu katika Chuo cha uhasibu Arusha kutumia tafiti zao kuisaidia jamii kukabiliana na changamoto kwenye maeneo waliyoyabaini na kuyafanyia tafiti. Ameyasema hayo leo mkoani Arusha kwa niaba ya Waziri wa fedha ,Dkt.Mwigulu Nchemba kwenye mahafali ya 26 ya wahitimu wa Chuo cha uhasibu Arusha... Read More