NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV TAASISI ya Uhasibu Tanzania (TIA) imepongezwa kwa kuwa mstari wa mbele kupitia mpango wa vituo atamizi, unaowawezesha wanafunzi kujiajiri, kuajirika, na kuchangia uchumi wa taifa. Aidha, wamepongezwa kwa kuwaendeleza wanafunzi wenye mawazo ya kibunifu ili waweze kufanikisha malengo yao. Pongezi hizo zimetolewa leo Desemba 13, 2024 Naibu Katibu Mkuu wa... Read More