Na Mwandishi wetu, Mirerani KONGAMANO la kumaliza mwaka la Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Mirerani Jimbo la Arusha Mashariki Dayosisi ya Kaskazini Kati, mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, limefana kwa waumini kupata chakula cha roho na kwaya mbalimbali kuhudumu. Mchungaji kiongozi wa usharika wa Mirerani, Loishiye Godson Laizer... Read More