Shule ya Msingi Mazola, iliyopo katika kijiji cha Mazola, kata ya Doda, wilaya ya Mkinga, imepata afueni kubwa baada ya kukabidhiwa matundu ya vyoo 12 vilivyojengwa kwa msaada wa Shirika la World Vision kwa kushirikiana na serikali. Ujenzi huo umegharimu shilingi milioni 86.4 na unalenga kuboresha mazingira ya elimu kwa wanafunzi wa shule hiyo. Mkuu... Read More