Mipango ya kutuma ndege za kijeshi nchini Uholanzi kuwaokoa mashabiki wa Maccabi imefutiliwa mbali, ofisi ya waziri mkuu wa Israel imetangaza. Katika taarifa mpya, ofisi ya Benjamin Netanyahu inasema, baada ya kushauriana na jeshi la Israel, iliamuliwa kutuma “ujumbe wa kitaalamu wa uokoaji nchini Uholanzi haukuwa muhimu”. Awali alisema ndege mbili zitatumwa katika mji mkuu... Read More