Na WAF – Dodoma Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema Shilingi Trilioni 6.7 zilizotolewa na Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan zimechangia kuleta mageuzi makubwa ya upatikani wa huduma bora za afya ikiwemo matibabu ya kibingwa nchini. Dkt. Mollel amesema hayo wakati akichangia hoja... Read More