Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima Ramadhani akizungumza jambo wakati wa mafunzo kuhusu sheria za uchaguzi kwa Makamanda wa Polisi Wilaya (OCD) yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Moshi (CCP). Kushoto ni Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Jeshi la Polisi, CP Awadhi Juma Haji na kulia ni Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria... Read More